Puerto Rico | Estado Libre Asociado de Puerto Rico

Shukran sana kwa kutujuza,
Ila kinachonichanganya juu ya hawa watu ni kwamba waliishiaje kuwa ndani ya shirikisho la Marekani? Nini kilitokea?
 
Shukran sana kwa kutujuza,
Ila kinachonichanganya juu ya hawa watu ni kwamba waliishiaje kuwa ndani ya shirikisho la Marekani? Nini kilitokea?
Wakati wakipambania uhuru wao kutoka Uhispania walikuwa katika muendelezo sawa na Cuba, Dominican Republic. Huku mVenezuela Simón Bolívar akisaidia wakazi wa Puerto Rico kufikia hatua ya uhuru na akishawishi kuungana na Venezuela, Colombia na Peru kutengeneza muungano bora.

Kutokana na adha, shida na madeni ya kisiwa Marekani aliweza kuwa na ushawishi wa kimkakati katika usaidizi wa kisiwa hiki na hapo Puerto Rico ikamilikishwa katika jumuiya ya KiMarekani.
 
Ooh sawa, kwahivyo hakukuwa na mapigano ya kuiazimisha Puerte Rico kujiunga n Marekani?
 
Ooh sawa, kwahivyo hakukuwa na mapigano ya kuiazimisha Puerte Rico kujiunga n Marekani?
Hapana, Marekani tayari ilikuwa imesimama na majimbo yote yakiwa katika muungano. Ndio sababu ya Puerto Rico kutokuwa katika Muungano bali uangalizi wa juu zaidi maana walichelewa muungano uliokuwa umesimamishwa tayari.
 
Walichagua jambo jema kuliko kujiunga na Cuba na Venezuela ambao wamechoka
Yes! Maana wao ndio wanapata faida zaidi kuwa karibu na Marekani kuliko Marekani kwa Puerto Rico.

Uchumi wa Kitalii na Biashara unabaki Puerto Rico wakati wakipokea kamisheni kutoka Marekani.
 
Kumbe kuna nchi zinatisha sana ktk mambo ya utalii.

Mleta mada shukran kwa mada hii.
 
Na ww ukaaamini baada ya kuchukua fomu Tz ikawa nani katweet vbya kuhusu mimi muheshimiwa yule mkamatenimara moja. akaja na speech huwez kua msaliti alafu uka survive sasa msaliti kwa tweeet tu.
 
Lakin raia wengi wa puerti rico wana passport za marekani.
 
Puerto Rico nimetokea kuipenda toka zamani ntafanya ziara siku moja huko ngoja niendelee kujifunza kihispaniola ili niwe huru zaidi kwenye hizo Nchi maana ukiwa Spain Polisi unamuuliza kitu kwa Kimalkia anakujibu kwa Kihispaniola daah..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…