Pugu alumni

Pugu alumni

Mrekebishaji

Senior Member
Joined
Mar 19, 2009
Posts
168
Reaction score
63
Ndugu zangu,
Kuna wazo nakumbuka limekuwa likinisumbua siku nyingi. Watanzania kwa bahati mbaya, tukiwa mazingira fulani, tunapata taabu, wengine wanakuja kupita mazingira hayo hayo ambayo wengine tumepita, lakini cha ajabu tunashindwa kurudi kuwasaidia.

Kwa wale mliosoma Pugu, nakumbuka wakati mimi mnipo pale 1999-2001 tulikuwa na shida ya maji, tukaambiwa ni tatizo la muda mrefu. Likatutesa. Tukaliacha mpaka leo bado linaendelea.

Ombi langu wale waliosoma Pugu tuanzishe umoja wetu ambao kwa kuanzia tutaona namna ya kusaidia shule ile na pengine baadae kuwa na malengo makubwa zaidi.
 
wazo zuri sana hilo ndugu jitahudi kuletekeleza na wenzako mliosoma pugu maana vijana wanaendelea kupata fungus hadi leo!!!
 
Asante mrekebishaji, mimi nilikuwa pale pugu wenyewe twapaita docebit vos omnia mwaka 1996-1998, hali ilikuwa mbaya sana maana nakumbuka vijana wa tambaza walikuwa wakituita mitambo ya fungus tulipokuwa tukienda pale kusoma tution, wazo hili lilikuwepo siku nying na ninakumbuka ulihawi kuwa mjadala mzuri tu wakati wa mjomba Ben, si unajua nae ni ex- pugu tena alikuwa pale enzi za mwalimu. Mimi niko tayari kushirikia nawe, asante kwa wazo
 
Next Level uko wapi mkuu....? Ongea na Mkapa atupunguzie mabilioni yake kwenye chama letu la zamani...!
 
Jamani, mimi nilipita pale kati ya 92-94; nadhani kuna thread inaendelea na iko mbali sana kimchango

tungeweza kuunganisha nguvu halafu tupambanie suala la alumni!!! wapo wengi akina nkapa, mtabaji na maprofesa wengi sana... watu wengi walio kwenye nafasi tosha kuondoa matatizo ya pugu... we need to give back to wazee wa docebit os omnia!!!

naunga mkono hoja ya alumni
 
Next Level uko wapi mkuu....? Ongea na Mkapa atupunguzie mabilioni yake kwenye chama letu la zamani...!

Hahahahaaaa.....mkuu KK.....nipo na vijibox vya kibongo mzee.....! nchee nkapa angekuwa na roho ya nyama, ilitakiwa a do ze needful for the pond boys kwa kweli!

Jamani, mimi nilipita pale kati ya 92-94; nadhani kuna thread inaendelea na iko mbali sana kimchango

tungeweza kuunganisha nguvu halafu tupambanie suala la alumni!!! wapo wengi akina nkapa, mtabaji na maprofesa wengi sana... watu wengi walio kwenye nafasi tosha kuondoa matatizo ya pugu... we need to give back to wazee wa docebit os omnia!!!

naunga mkono hoja ya alumni

Yes Docebit Vos Omnia......kule kny ile thread ingine kunawadau wengi sana wamechangia, so tukiunganisha nguvu we can do something!
 
Back
Top Bottom