Emmanuel Robinson
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,856
- 1,793
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mahafali ya 61 dah
Ahsante kwa picha mkuu, hawa wadada ni wa shule ipi sasa?
Daaa imenikumbusha long tym sana mambo ya kudrop,kwenda pondi
Wale wakazi wa Ujamaa 1 wamo humu JF?
Ina maana siku hizi hii shule ni mchanganyiko, mbona naona wasichnana ina maana walisubiri tukaondoka ndo wakaanzisha mix.
Hayo ni maua yamekuja tu kupendezesha bado ni boys tu
"PUGU DUME" Azimio2 long time aisee vijana wanavaa na Tai sasa.
Wadau hivi maswala ya Pondi yamelekebishwa?
Na ile kitu inaitwa "Battle" nikiifikiria kwa sasa nashindwa kuamini niliewezaje miaka yote mitatu pale.
nipo umoja 5 na maendeleo 5
Nimekumbuka mambo ya "pumbu erosion"
Aaaaah aaahahaaaah
Daaa!nimecheka sana. Pumbu erosion iliniandama mpaka nikataka nihame shule..