Pugu Boys: Mahafali ya Kidato cha Nne

Emmanuel Robinson

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
1,856
Reaction score
1,793
Leo ni mahafali ya 61 ya kidato cha nne katika shule ya sekondari pugu wanajiandaa kuhitimu kwa kufanya mtihani wao wa taifa November 3,2014
 
Check na hizo
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1413966863.057891.jpg
    74.3 KB · Views: 171
Daaa imenikumbusha long tym sana mambo ya kudrop,kwenda pondi
 
[QUO TE=kizaizai;10941058]Wale wakazi wa Ujamaa 1 wamo humu JF?[/QUOTE]
Mimi maendeleo moja baadae nikahamia umoja 4 five na 6 hiyo EGM
 
"PUGU DUME" Azimio2 long time aisee vijana wanavaa na Tai sasa.

Wadau hivi maswala ya Pondi yamelekebishwa?

Na ile kitu inaitwa "Battle" nikiifikiria kwa sasa nashindwa kuamini niliewezaje miaka yote mitatu pale.
 
Hawavai naona ni mbwembwe tu za gradue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…