Umoja 6 mpo, kale kabweni nilikapenda sana. Kapo karibu na pond, mihogo ya mama Pendo, darasa langu la PCM. Yaani kwa kifupi lile bweni lilikuwa karibu na vitu vitatu nilivyovihitaji zaidi pale Pugu.
Kuhusu "pumbu erosion " nakumbuka tulivyofika pale form five wengi tuliipata ila kila mmoja akawa anafanya siri, sasa siku moja bwenini mshikaji mmoja anaitwa Warioba akatoa korodani zake nje zipunge hewa basi kila mmoja wetu ndo akatamka kwamba korodani zinamsumbua