Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacheki PM TANESCO ukiwa na details za Mkoa, Wilaya, na mtaa ambao una shida pamoja na maelezo kuhusu shida yenyewe na namba yako ya simu.Pugu Kajiungeni maeneo ya Mpakani jirani na Shule ya Sekondari hatuna umeme tangu jana tarehe 5/6/2021 hatuna umeme. Kila nikipiga simu ya emergence ya Kisarawe kutoa taarifa wanakata wanakata! Tufanye Nini?