imbegete JF-Expert Member Joined Jun 21, 2015 Posts 1,299 Reaction score 992 Jun 5, 2021 #1 Pugu Kajiungeni maeneo ya Mpakani jirani na Shule ya Sekondari hatuna umeme tangu jana tarehe 5/6/2021 hatuna umeme. Kila nikipiga simu ya emergence ya Kisarawe kutoa taarifa wanakata wanakata! Tufanye nini?
Pugu Kajiungeni maeneo ya Mpakani jirani na Shule ya Sekondari hatuna umeme tangu jana tarehe 5/6/2021 hatuna umeme. Kila nikipiga simu ya emergence ya Kisarawe kutoa taarifa wanakata wanakata! Tufanye nini?
Dr. Wansegamila JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 2,968 Reaction score 8,139 Jun 5, 2021 #2 imbegete said: Pugu Kajiungeni maeneo ya Mpakani jirani na Shule ya Sekondari hatuna umeme tangu jana tarehe 5/6/2021 hatuna umeme. Kila nikipiga simu ya emergence ya Kisarawe kutoa taarifa wanakata wanakata! Tufanye Nini? Click to expand... Wacheki PM TANESCO ukiwa na details za Mkoa, Wilaya, na mtaa ambao una shida pamoja na maelezo kuhusu shida yenyewe na namba yako ya simu.
imbegete said: Pugu Kajiungeni maeneo ya Mpakani jirani na Shule ya Sekondari hatuna umeme tangu jana tarehe 5/6/2021 hatuna umeme. Kila nikipiga simu ya emergence ya Kisarawe kutoa taarifa wanakata wanakata! Tufanye Nini? Click to expand... Wacheki PM TANESCO ukiwa na details za Mkoa, Wilaya, na mtaa ambao una shida pamoja na maelezo kuhusu shida yenyewe na namba yako ya simu.
djzmpr70 JF-Expert Member Joined Oct 25, 2020 Posts 224 Reaction score 153 Jun 5, 2021 #4 TANESCO wamekusikia
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jun 5, 2021 #5 Poleni sana... TANESCO