wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 558
namtahadharisha puljin awe mkweli katika usajili wake isiwe hamtaki kwa sababu hajamleta yeye kwa maana anataka kuleta wake iwe wazuri mara mia ya kamara asivimbe kichwa kwa kuchukua ubingwa kwani mara ya kwanza si alishindwa hata mwaka huu angeshindwa kama si juhudi za wanachama wa yanga hasa wa dodoma