Enny JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 962 Reaction score 130 Jan 26, 2011 #1 Kuna mzee wangu mmoja ana lori lake scania 124 pulling, anatafuta trailler la kuvutwa. Kama kuna mtu anajua sehemu wanauza tafadhari msaidie.
Kuna mzee wangu mmoja ana lori lake scania 124 pulling, anatafuta trailler la kuvutwa. Kama kuna mtu anajua sehemu wanauza tafadhari msaidie.
Kurunzi JF-Expert Member Joined Jul 31, 2009 Posts 9,753 Reaction score 10,747 Jan 26, 2011 #2 Piga no. 0716099463
Enny JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 962 Reaction score 130 Jan 26, 2011 Thread starter #3 KURUNZI said: Piga no. 0716099463 Click to expand... Asante nampa hiyo akutafute sasa hivi
TATE Member Joined Aug 11, 2010 Posts 89 Reaction score 17 Jan 27, 2011 #4 0713 847456 or 0782 847456 tafadhali piga namba hizo kwa mawasiliano.
Enny JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 962 Reaction score 130 Jan 27, 2011 Thread starter #5 Nimtumia atakupigia
Enny JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 962 Reaction score 130 Jan 31, 2011 Thread starter #6 Asanteni kwa msaada wenu mzee wangu ameshapata treiller tayari. Mungu awabariki wote mliochangia kwa namna moja au nyingine.
Asanteni kwa msaada wenu mzee wangu ameshapata treiller tayari. Mungu awabariki wote mliochangia kwa namna moja au nyingine.