Kuna kampuni kadhaa ambazo wanazalisha bidhaa tajwa hapo juu.
Kuna kiwanda cha serikali knaitwa Tembo Chip Board, hiki kipo katika kijiji cha Mkumbara, wilayani Korogwe mkoa wa Tanga, pembeni mwa barabara ya Tanga - Arusha. Kinatengeneza ceiling boards, chip boards na bidhaa nyingine za namna hiyo.
Kwa Iringa kuna Mufindi Paper Mills (MPM), wao wanazalisha karatasi za kuchaia pamoja na matumizi mengine. Hawa wanapatikana Mgololo, wilayani Mufindi katika mkoa wa Iringa. Watafute kwa +255 783 83125.