INAUZWA Pumba za mahindi inauzwa

INAUZWA Pumba za mahindi inauzwa

Mikito Mikito

Senior Member
Joined
Jan 15, 2020
Posts
183
Reaction score
1,089
2400342_FB_IMG_15895287546406802.jpg


Tunauza pumba za mahindi
Gunia 1 = Tsh 13000
Gunia 1 = debe 7
Gunia 1 = kilo 70_80
Karibu ujipatie pumba safi kwa Tsh 13000 tu
Tunapatikana Tegeta kwa Ndevu Dar es Salaam
Piga simu au fika ofisi kwa biashara
0783231177
Asanteni
 
Back
Top Bottom