Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
G/mboto ipo darUnapatikana wapi mkuu?? Mbona hujatoa eneo uliko asee maana unaweza kuta muhitaji yupo kagera au geita then we upo morogoro
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh nikajua cost itakuwa ndogo, mbona manzese TZS 13000?Habari
Kuna Uncle wangu anauza pumba kavu za mahindi. Yupo Gongo la Mboto. Ziko gunia 150 anauza gunia elfu 19500. Karibu PM nikuunganishe nae.
You are strong than what you think...
Habari
Kuna Uncle wangu anauza pumba kavu za mahindi. Yupo Gongo la Mboto. Ziko gunia 150 anauza gunia elfu 19500. Karibu PM nikuunganishe nae.
You are strong than what you think...
Dah jana tu tumenunua 70 kiwandani kwa ajili ya kung'arishia misumari.... Na zimetoka kibadaDuh..gunia 150 si haba...!wafugaj wa nguruwe wazichangamkie..All the best