Waone SIDO nenda kwa maonyesho ya nane nane watakupa ushauri,pia jaribu tembelea UDSM-nadhani na wao wanaeeza wakawa na utaalam
hizo pumba zipo mkoa gani?wilaya or kijiji kipi,Nipo katika eneo ilinalolimwa mpunga sana na kuna mashine mpya za kichina mabazo sio zinakoboa mpunga ila zinamenya!!
Pumba zinazotokana na kumenywa kwa mpunga zimelundikana sana na nia yangu ni kutafuta ushauri kuhusu kuzigeuza kuwa kuni.
Je kuna teknoljia ya kuweza ku press na kutengeneza kuni,nijuzeni ndugu zangu.