INAUZWA Pump ya kumwagilia inauzwa

Laki 8? Labda kama inavuta petroli kutoka ardhini af ndo inamwagilia kwenye fuel tanks..
Mkuu ungeulizia kwanza bei zake zikiwa mpya ndo uje utushike maskio
 
Bei ya Mpya inaanzia Laki 3 mpka 2.5 unapata. Kila la Heri ukipata Mteja
 
Hiyo ni mpya kabisa hajafanywa service .halafu ni made in Japan na ni kubwa inch 3 hizo za laki 3 ni Chinese made na ni inch 1.5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…