Civilian Person
Member
- Oct 4, 2021
- 8
- 2
Wakuu kwann hizi pump huwa zinakufa sn ?View attachment 2650324
Hii sababu ya mafuta machache inaweza kuwa sababu kubwa zaidi au kuna nyingine kubwa zaidi labda ?Jitahidi uwe unaweka mafuta mengi kwenye gari, usisubiri mpaka taa iwake au gari izime, pia uweke mafuta kwenye sheli safi
Hii sababu ya mafuta machache inaweza kuwa sababu kubwa zaidi au kuna nyingine kubwa zaidi labda ?
Sababu ya mafuta ya videbe( machafu)Wakuu kwann hizi pump huwa zinakufa sn ?View attachment 2650324