Pump Yangu Haivuti Maji...Mota inazunguka..Wataalam nisaidieni...

wirewizard

Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
75
Reaction score
56
Ndg...Wana Jf...Mimi ni mkulima Nina pump mpya...Aina ya Sansan...ya petrol horse power 5...Natumai kuvuta majitoka bwawani kuna Kwenye Karo la Kumwagilia...Nashangaa Leo ghafla Mora inazunguka..lakini haivuti Maji..!!!!!...Tatizo sijui ni Mimi....wakati Jana ilikuwa ni nzima nilivuta Maji kama kawaida...Naomba msaada Kutoka kwa wataalam Kwenye kujua nifanye nini..???Niko mbali sana shambani...!!!
Msaada jamani...?????;
 
Hapo iatkuwa maji yameisha na haiwezi kuvuta mchanga au udongo
Pia inaweza kuwa ni hewa imeingia jaribu kufungua nut ili upepo utoke.
Nafikiri hivyo
 
Kuna maji kwenye pipe inayoingia katika pump? Pump nyingi haziwezi kuvuta maji kama kuna upepo kati ya pump na maji kwenye bomba la kuingizia. Inabidi ufanye procedure inaitwa priming hii ni kujaza maji kwenye bomba la kuingizia mpaka kusiwe na upepo kabisa. Pia unaweza kutumia self priming pump ambayo itatoa upepo yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…