A Anonymous Guest Jun 13, 2026 #1 Malalamiko yangu kituo cha mafuta satale mpigimagoe pump ⛽ zao zinatupunja mafuta tunaomba ewura wake wahakiki . Mafuta Yao ni machache ukilinganisha na unayoweka kwenye kituo kingine cha mafuta
Malalamiko yangu kituo cha mafuta satale mpigimagoe pump ⛽ zao zinatupunja mafuta tunaomba ewura wake wahakiki . Mafuta Yao ni machache ukilinganisha na unayoweka kwenye kituo kingine cha mafuta
NYOLODO JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 12,206 Reaction score 27,987 Jun 13, 2026 #2 Kwa hiyo mkuu nimekuelekez chooni ukaona bor unifyatue picha mgongoni sio?
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 18,180 Reaction score 22,280 Jun 13, 2026 #3 Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa. Kazi ni kipimo cha utu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jun 14, 2026 #4 Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw
coscated JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 4,794 Reaction score 5,411 Jun 14, 2026 #5 Kwani ukienda na kidumu cha lita 5 ukawaambie wapime ya lita 5 hayafiki kwenye ujazo wa lita 5 halisi?
Kwani ukienda na kidumu cha lita 5 ukawaambie wapime ya lita 5 hayafiki kwenye ujazo wa lita 5 halisi?