Pump za maji kwa ajili ya umwagiliaji.


Nimefurahia sana elimu hii ya umwagiliaji. je kama una kisima cha lt 15000 unahitaji pump ya umeme ya hp ngapi kumwagilia shamba la eka 3 kwa kutumia sprinklers tano kila shamba? Kisima kipo hapo hapo pembezoni mwa shamba na kwenye level moja.
 
Wakuu naomba mtu mwenye ujuzi nazo anisaidie. Nataka kujua pump yenye uwezo wa kuvuta maji kina cha mita 10 na kumwagilia ekari mbili inaweza kugharimu kiasi gani? Pia nilitaka kujua kama kilimo kwanza wanauza na hizi pump. Natanguliza shukrani.

Mi ninayo pumpu HP 30 ex Italy naiuza Sh. 3.0 mil. Ni mtumba niliinunua kwa jamaa anaeagiza mashine za mtumba toka nje ! Hii mashine inatumia petroli na ni portable. Watu wawili wanabeba, au kwa bodaboda unapakia. Nilii fanyia service na kuiwasha lakini sijawahi kuitumia maana project yangu ya shamba la heka 40 huko kilosa ilisimama. Ina uwezo wa kupeleka maji kilometer 3 mahali tambarare (horizontal) kwa mujibu wa fundi aliefanya service. Mi hiyo sio taaluma yangu, na huyo fundi huenda nae alijisemea tu, so kwa uhakika wa nini pampu ya HP 30 inaweza fanya wataalamu watuambie. atakaeitaka apige 0764640244. Hata hilo shamba anaelitaka aseme. limepakana na mto usiokauka. Mimi shauri ya uzee nimeshindwa kuendelea na hilo shamba.
 
Habari ndugu.
Hilo shamba liko maeneo gani?? Je kama nikihitaji eka kadhaa inafaa?? Je ni shi ngapi kwa ecra moja??
 
Jaribu kutafuta humu kuna uzi unaongelea kuhusu windmill water pump ndani ya Tz na nimeona gharama zao zinarange 1.8mil
 
Wakuu naomba mtu mwenye ujuzi nazo anisaidie. Nataka kujua pump yenye uwezo wa kuvuta maji kina cha mita 10 na kumwagilia ekari mbili inaweza kugharimu kiasi gani? Pia nilitaka kujua kama kilimo kwanza wanauza na hizi pump. Natanguliza shukrani.
Ulifanikiwa?🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…