Pump za solar kwa ajili ya Kilimo cha Umwagiliaji (Bei ni nafuu na kwa mikopo bila riba)

Pump za solar kwa ajili ya Kilimo cha Umwagiliaji (Bei ni nafuu na kwa mikopo bila riba)

Dynno22

Member
Joined
Dec 10, 2019
Posts
5
Reaction score
1
Mara nyingi wakulima wamekuwa wakitamani kununua au kumiliki vifaa vya kilimo lakini kutokana na bei kubwa na pia kutokuwa na sifa za kukopesheka katika taasisi za fedha basi wanashindwa kutekeleza matakwa yao.

Simusolar tumeliangalia hili swala kwa undani na sasa tumeamua kuwawezesha wakulima katika kilimo cha umwagiliaji kwa kuwapatia mifumo ya pump za kilimo zinazotumia solar kwa mfumo wa kulipia kidogokidogo kila mwezi mpaka miezi 22.

Mifumo yote ya pump inakuja na Pump, Panel, Mipira ya maji, paneli stand, ufungaji bure na pia ina waranty miaka miwili, service Bure kwa miaka miwili.

Unaweza ukatembelea tovuti yetu kupitia www.simusolar.com au utupigie kupitia nambari 0712149131 kwa maelezo zaidi.
WhatsApp Image 2020-06-25 at 14.39.06.jpeg
 
Nimmeenda url simusolar nimeshindwa kupata bei.
Kwakuwa tunatoa mfumo mzima wa pump kuanzia pump mpaka mipira ...bei haziko standard kwa sababu pia inategemea na majibu ya survey ya kisima chako, kiasi cha maji unacho hitaji, aina ya umwagiliaji, zao pia na ukubwa wa shamba.
 
Kwakuwa tunatoa mfumo mzima wa pump kuanzia pump mpaka mipira ...bei haziko standard kwa sababu pia inategemea na majibu ya survey ya kisima chako, kiasi cha maji unacho hitaji, aina ya umwagiliaji, zao pia na ukubwa wa shamba.
Sasa jaribuni kuwa ktk level ya mkulima wa kawaida kwa utaratibu huo mnapnelana mmewalenga kundi fulani kenye hela ndefu.

Visima wengine wanavyo unaweza kuja na utaratibu wa nusu eka au eka.

Tunaanza kuogipa mapema lugha za kitaalam zimezidi mno.
 
Siku zote sisi tunaangalia bei ila hatuangalii quality na pia tuna save kiasi gani. Mfano Unapo tumia generator/pump ya mafuta tunaangalia tu bei ya kununulia ambayo kweli ni rahisi tunasahahu bei za kuendesha ile generator/pump kama vile mafuta ya kila siku, gharama za matengenezo, uchafuzi wa mazingira etc zidisha kwa mwaka mzima au msimu. Ila uwekezaji katika solar ni bei ghali gharama za mwanzo ila baada ya hapo hakuna gharama zingine za uendeshaji. Gharama zetu za cash zinaanzia 1m kuendelea ... ila pia kuna mikopo bila riba.
 
Mashine zenu zinavuta maji kwa mto au kwa visima virefu!?
Halafu bwana Danieli Jaribu kupokea simu pia.
 
Back
Top Bottom