Sisi vijana wa zamani tunakumbuka kauli zako za kishujaa kuhusu wahujumu uchumi na wanyonyaji..ulivyo wasema na kuwashughurikia wazwaz na kipindi kile hatukuona kama ni udikteta.
Lkn zama hizi busara na ujasiri huu ukitumiwa na viongozi wetu tunaona kama ni madikiteta.
Sokoine. Anakumbukwa kwa kuwa kiongozi pekee ambaye aliacha uwaziri mkuu kwa hiari yake akaenda kuongeza maarifa.
Hili ni funzo pia kwa viongozi wa waleo ukiona kunatatizo sehem unaweza kuongeza maarifa kwa kuongeza ufanisi.
Aliwakunakiriwa akikemea ujangili na uvamizi wa misitu holela.
“Miti na misitu inaungua kila mara. Wanaounguza utajiri huu wanaachwa na wengine wanafanya hivyo kwa ukorofi. Hatuwezi kuchezea maisha yetu wenyewe. Lazima sheria iwabane wote wanaohusika kuharibu mazingira.”-Kauli hii ilitolewa na Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania, Edward Moringe Sokoine.
Sisi wazee wa zamani tunajiuliza mpka leo kwa nn mungu aliamua kukuchukua mapema huku matamanio yako kuona nchi yetu inafikia malengo ukiondoka nayo.
Haya yote heri bado tunaamini Mungu ni mwema.
Tutakukumbuka daima Sokoine M.Edward.