KAMINYINGE Member Joined Mar 8, 2013 Posts 64 Reaction score 7 May 21, 2014 #1 Habari za kaz wakuu! Hali hii imenitokea leo asubuh kama saa3 hivi nilikuwa na kabaiskeli kakamongo nimepanda mlima kidogo tu nikaona pumzi inakata kifua kizito,kukosa nguvu nikapumnzika kando na kuendele na safar kwa tabu sana hapa nn tatizo? msada
Habari za kaz wakuu! Hali hii imenitokea leo asubuh kama saa3 hivi nilikuwa na kabaiskeli kakamongo nimepanda mlima kidogo tu nikaona pumzi inakata kifua kizito,kukosa nguvu nikapumnzika kando na kuendele na safar kwa tabu sana hapa nn tatizo? msada
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 20,834 Reaction score 26,217 May 21, 2014 #2 Wahi hospitali kapime kiwango chako cha damu mkuu!!