TANZIA Pumzika kwa amani Profesa Costa Ricky Mahalu!

Mpe salamu Ben na Mahiga, waambie siku hizi mpaka Steve Nyerere anakunya Ikulu maame, la manyani.
 
Nmesoma andiko LAKO nmetafakari mengi sana ...kweli saivi ni kama Kuna mavitu tu ya ajabu ajabu hatujui hata yammetokea wapi ila ndio yanaongoza nchi katika nyanja mbalimbali
 
Nmesoma andiko LAKO nmetafakari mengi sana ...kweli saivi ni kama Kuna mavitu tu ya ajabu ajabu hatujui hata yammetokea wapi ila ndio yanaongoza nchi katika nyanja mbalimbali

Kazi zilianza kuharibika miaka flani hivi ya 2000's. Kuna nafasi bila kuwa kipanga ulikuwa huwezi kuzipata. Maji yameshajivuruga sana, ndio maana siku hizi unakutana na mtendaji wa serikali, wewe mteja ndio unamuelekeza kazi. 😁

Unaona kabisa alivyo mweupe.
 
Ningeshangaa kama asingetajwa kwa ubaya Jk. Kzee huyu Mungu anamuweka kwa ajili ya mengi sana......kutufunza wanadamu kuhusu uvumilivu, tabia za binadamu na maisha kwa ujumla.
 
Nimefurahi sana ulivyomwelezea na kuelezea tofauti ya Taaluma ya TZ ilipotoka na sasa ilivyo.
 
RIEP Prof Mahalu. Mungu akupe pumziko la milele
 
Pamoja na mabilioni yote alokuwa nayo lakini kafia Zahanati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…