kabwe makanika
Senior Member
- Jan 11, 2013
- 158
- 134
Okay.Lakini,ndiyo likae mwisho?
Ma bad for being wreckless!Mwisho ipo mahinga ndio jina la ukoo
Alikuwa ni nani huko St. John Dodoma? Mwanachuo, mkufunzi, mke wa Lecturer!!Pumzika kwa amani Vicky
Marafiki na ndugu tutakukumbuka daima poleni wana Dodoma na chuo cha St John.
View attachment 2696545
Anadhani wote tumesoma St. John.Poleni sana bandeko!Na ukileta uzi ni vema ukatoa hata historia kidogo ya uliyemkusudia.Hata sisi wa Kijiji cha Matimila hapa Songea tumjue.Asante kwa kunielewa.
Nadhani hujaelewa vizuri. Shoma ndiyo jina lake maarufu, ni sister ambaye namfahamu vizuri sana. Tuliishi wote kota za staff wa Mirembe Hospital. Anyway, tuishie hapa.Mwanamke huwa habebi jina la ukoo/baba yake.Muite Vicky.
Wewe hauhusiki kuumwa kwake, nawe tukuandalie maua?Alikuwa anaumwa kwa muda murefu