Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 478
- 408
Kwa wale wakaazi wa Arusha bila shaka maeneo ya mjini mtakuwa mnamkumbuka mwalimu Bill Mushi ambaye alikuwa akifundisha sana masuala ya Muda na Ujasiriamali, hasa maeneo ya Stand ya Mkoa na Mianzini akiwa na ubao wake.
Huyu bwana Mungu amempumzisha.
Tulipenda mafundisho yake ya kutunza muda sana.
Huyu bwana Mungu amempumzisha.
Tulipenda mafundisho yake ya kutunza muda sana.