Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 478
- 408
Ni yule jamaa mwenye vits!kwa wale wakaazi wa Arusha bila shaka maeneo ya mjini mtakua mnamkumbuka mwalimu Bill Mushi ambaye alikua akifundisha sana masuala ya muda na ujasiriamali hasa maeneo ya stand ya mkoa na mianzini akiwa na ubao wake.
Huyu bwana Mungu amempumzisha.
Tulipenda mafundisho yake ya kutunza muda sana.
ah alikia na vits short chasisNi yule jamaa mwenye vits!