Punda alikuwa mnyama wa kufugwa au wa polini?

Punda alikuwa mnyama wa kufugwa au wa polini?

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,778
Reaction score
7,145
Katika utafiti nimeshindwa kujua kuwa Mnyama punda, alikuwa mnyama wa polini au wa kufugwa, Tabia za punda, ni mpole sana, anauwezo wa kuvumilia hali yoyote ya ukame, ana rangi zinazofanana kwa kila hali, ana ukubwa sawia, muundo wa sura kwa ujumla auna tofauti. Kwa kawaida wanyama wengi wafugwao kuanzia mbwa , ngombe; mbuzi ; kondoo wengi wana mabaka; wana maumbile tofauti kuanzia mapembe n,k hata ndege kama kuku bata ambao wafugwao nao wanamadoa au mabaka,
 
Back
Top Bottom