Transistor
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,061
- 1,637
UZALISHAJI WA NISHATI YA NGUVU KAZI (UMEME AU MZUNGUKO) KUTUMIA WANYAMA..
Katika dunia hakuna nishati ya bure zaidi ya nishati upepo au nishati jua, japo hata nishati hizo, huhitaji vifaa vyenye gharama ili uweze kuvuna kile cha bure.
Ila pia tukumbuke wanyama wanaweza kukupa nishati hizo kama utawaandaa kuwa hivyo.
Binadamu wa wa leo anahitaji nishati ya uhakika na ambayo inatumia mazingira yaliyopo au yanayo mzunguka ili aweze kupata huduma.
Hii ni tija sana kwa watu wa mashambani na katika miradi iliyo porini nje ya miji ambako huduma za nishati umeme hazija fika au kwa wale ambao wanataka kupunguza gharama za uendeshaji.
Mnyama yoyote ana nguvu ya kuzalisha nguvu, nguvu ambayo inaweza kugeuzwa kua kitu chochote. Mfano nguvu mwendo au nguvu nishati.
Ningependa kutambulisha nishati ambayo inazalishwa na wanyama kama vile Punda na Ng'ombe.
Nishati hii inatokana na wanyama hao baada ya kula majani na kunywa maji na uhai wao. Hapo ndipo wanaweza kuwakilisha nishati husika katika tendo fulani.
Ng'ombe au Punda wametumika sana katika kuzalisha nishati mwendo...
Ila bado Sayansi inaruhusu wanyama hao kuzalisha nishati zaidi kwa miunganiko ya kimfumo wa convertional ambapo tukapata nishati nyingine zenye tija kibinadamu.
Hivyo punda au ng'ombe wanaweza kuzalisha umeme au nguvu mzunguko katika maeneo ambayo ya uhitaji wa nguvu hizo.
Kama una Punda au ng'ombe na upo katika mazingira ambvao nishati ya kawaida ni changamoto..
Hasa nishati ya Umeme au nishati mzunguko. Hii ina maana unaweza kugeuza majani na maji kuwa umeme au nishati nyingine ya mzunguko ukavuta maji kisimani ukawasha taa n.k