Punda ni mzuri kuliko pundamilia

Punda ni mzuri kuliko pundamilia

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
Ni heri kuishi na punda kuliko pundamilia.

👉Punda si mzuri wa mwonekano lakini ni mtiifu na mchapakazi na mzalishaji sana
Punda anaweza kudumu sehemu moja na kutulia Ata hali ikiwa ngumu hatokukimbia

👉Pundamilia ni mzuri lakini hawezi maisha magumu, Hana utulivu hawezi kaa sehemu moja, pundamilia hakuna anachoingiza kwa wewe binafsi zaidi kupoteza fedha nyingi kumuona mara moja

NB. Pundamilia hafugiwi nyumbani

Picha hii haina uhusiano na hawa wanyama.

Screenshot_20241226_205121.jpg
 
Wanyatur... wa singida wanawapenda sana
Ni heri kuishi na punda kuliko pundamilia.

👉Punda si mzuri wa mwonekano lakini ni mtiifu na mchapakazi na mzalishaji sana
Punda anaweza kudumu sehemu moja na kutulia Ata hali ikiwa ngumu hatokukimbia

👉Pundamilia ni mzuri lakini hawezi maisha magumu, Hana utulivu hawezi kaa sehemu moja, pundamilia hakuna anachoingiza kwa wewe binafsi zaidi kupoteza fedha nyingi kumuona mara moja

NB. Pundamilia hafugiwi nyumbani

Picha hii haina uhusiano na hawa wanyama.

View attachment 3185801
 
Mkuu Bolotoba nimegundua kuwa wewe unampelekea punda wa nyumbani moto, haiwezekani umchukie punda milia pasipo ya msingi. Hata siku ukibahatika kumwonja punda milia utamkana tena punda wa nyumbani na kumsifia milia.

Mahaba ni upofu jameni duh.....
 
Mbona inaeleweka sana, yaani ukitaka pisi kali(punda milia) itakugharimu sana kumtunza, kwanza hajazoea kukaa sehemu moja(outing zinatakiwa kuwa nyingi), itakugharimu kuhakikisha urembo wake unabaki pale pale, pia ni kivutio cha wengi hivyo uhakika kwamba ni wako pekee yako unakuwa mdogo, atakuingiza hasara kwani hakuna atakacho kusaidia zaidi ya kuangalia huo urembo wake,

Turudi kwa punda sasa, hana muonekano mzuri kama punda milia, ila ni mnyenyekevu, ataleta faida kwani atakisaidia baadhi ya mizigo, ni mtulivu sio mzururaji, kwa sababu sio kivutio cha wengi basi unakuwa na uhakika kwamba yuko kwa ajili yako.

Ni hayo tu
 
Ni heri kuishi na punda kuliko pundamilia.

👉Punda si mzuri wa mwonekano lakini ni mtiifu na mchapakazi na mzalishaji sana
Punda anaweza kudumu sehemu moja na kutulia Ata hali ikiwa ngumu hatokukimbia

👉Pundamilia ni mzuri lakini hawezi maisha magumu, Hana utulivu hawezi kaa sehemu moja, pundamilia hakuna anachoingiza kwa wewe binafsi zaidi kupoteza fedha nyingi kumuona mara moja

NB. Pundamilia hafugiwi nyumbani

Picha hii haina uhusiano na hawa wanyama.

View attachment 3185801
Mungu huongea nasi kupitia Nature (Asili)
 
Hata Yesu alimchagua mwanapunda kwa sababu ya unyenyekevu, Mwanamke akiwa mnyenyekevu tu, ni sababu tosha ya yeye kudumu na mwanaume kinyume na hapo hata angekuwa na nyash inajaa chumba kizima bila unyenyekevu ni bure
 
Back
Top Bottom