Tumefika huyo jamaa ni fala analinganisha mnyama wa porini wild animal na mnyama anaefugwa!!??Ngoja waje
Nimeona uzi wake umepoa nikasema ngoja nifufue kaburi huenda nitaelewa madaTumefika huyo jamaa ni fala analinganisha mnyama wa porini wild animal na mnyama anaefugwa!!??
Ni heri kuishi na punda kuliko pundamilia.
👉Punda si mzuri wa mwonekano lakini ni mtiifu na mchapakazi na mzalishaji sana
Punda anaweza kudumu sehemu moja na kutulia Ata hali ikiwa ngumu hatokukimbia
👉Pundamilia ni mzuri lakini hawezi maisha magumu, Hana utulivu hawezi kaa sehemu moja, pundamilia hakuna anachoingiza kwa wewe binafsi zaidi kupoteza fedha nyingi kumuona mara moja
NB. Pundamilia hafugiwi nyumbani
Picha hii haina uhusiano na hawa wanyama.
View attachment 3185801
Mkuu Bolotoba nimegundua kuwa wewe unampelekea punda wa nyumbani moto, haiwezekani umchukie punda milia pasipo ya msingi. Hata siku ukibahatika kumwonja punda milia utamkana tena punda wa nyumbani na kumsifia milia.Ni heri kuishi na punda kuliko pundamilia.
👉Punda si mzuri wa mwonekano lakini ni mtiifu na mchapakazi na mzalishaji sana
Punda anaweza kudumu sehemu moja na kutulia Ata hali ikiwa ngumu hatokukimbia
👉Pundamilia ni mzuri lakini hawezi maisha magumu, Hana utulivu hawezi kaa sehemu moja, pundamilia hakuna anachoingiza kwa wewe binafsi zaidi kupoteza fedha nyingi kumuona mara moja
NB. Pundamilia hafugiwi nyumbani
Picha hii haina uhusiano na hawa wanyama.
View attachment 3185801
Mungu huongea nasi kupitia Nature (Asili)Ni heri kuishi na punda kuliko pundamilia.
👉Punda si mzuri wa mwonekano lakini ni mtiifu na mchapakazi na mzalishaji sana
Punda anaweza kudumu sehemu moja na kutulia Ata hali ikiwa ngumu hatokukimbia
👉Pundamilia ni mzuri lakini hawezi maisha magumu, Hana utulivu hawezi kaa sehemu moja, pundamilia hakuna anachoingiza kwa wewe binafsi zaidi kupoteza fedha nyingi kumuona mara moja
NB. Pundamilia hafugiwi nyumbani
Picha hii haina uhusiano na hawa wanyama.
View attachment 3185801
Hao punda na pundamilia!Ngoja waje
pundamilia ndio wengiHao punda na pundamilia!
Huko mbugani kwa kweli ni wengi.pundamilia ndio wengi
wamehama mbugani saizi tunapishana nao mtaaniHuko mbugani kwa kweli ni wengi.