Pundamilia ' Ndasiata' ualbino ameonekana Hifadhi ya Taifa ya Serengeti

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Pundamilia ' Ndasiata' ualbino ameonekana Hifadhi ya Taifa ya Serengeti mapema Februari mwaka huu.

Hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la wanyama wenye rangi za kuangaza ambapo ualbino ndio sababu ya kawaida ya muonekano huo.

Wakati, pumbamilia maarufu Tira ambaye pia alionekana Kenya na Tanzania alikuwa na rangi nyeusi iliyozidi na sasa anaendelea vizuri katika maeneo ya Serengeti, Tanzania ambako inaaminika kuwa ndio nchi yake ya asili.
 
hata kuwa yupo chini ya ulinzi na kafungiwa gps kama simba na baazi ya wanyama ambao hatari kutoweka au kuwindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…