Comrade Ally Maftah
Member
- Nov 6, 2016
- 77
- 271
PUNGUZA CHUKI, HUWEZI KUISHI PEKE YAKO NA HUWEZI KUISHI MILELE
Na Comrade Ally Maftah
Baada ya kujitafakarisha asubuhi nimajiuliza maswali mengi sana, ikiwa mimi nina miaka 32, na ikiwa Mungu amenipa uhai wa miaka 50 duniani si shaka kwamba nimebakiza miaka 18 tu ya kuonyesha upendo wangu kwa wenzangu, nikajiuliza ni kwanini nimchukie mtu ambae sikumuumba, nacheka, nikarejea kauli ya Big Ben - watu ni zawadi yako kutoka kwa Mungu, nikawazaa nikasema kumbe mimi nimebarikiwa sana zawadi ni nyingi mno, kila ninaemuona nasema akhasante mungu huyu ni mteja, mdhamini, au mcheshi wangu, atakaenipa furaha na faraja katika siku zilizobaki.
NDUGU YANGU ACHA CHUKI, DUNIA NI YA MUNGU HUWEZI KUISHI PEKE YAKO NA HUTOISHI MILELE.
Ndimi Comrade Ally Maftah
PAKOME WA MCHONGO
MTOTO WA DR SAMIA