Punguza Tumbo,Mikono na Mapaja kwa kutumia Aloe Body Toning Kit.

Fay Mastories

Member
Joined
Jun 20, 2014
Posts
49
Reaction score
3
Ni bidhaa inayosaidia mzunguko wa damu uende vizuri kwenye ngozi na kuondoa mafuta yaliyokaa chini ya ngozi kwenye mapaja,mikono na tumbo. Ina,
Aloe Bath Gelee~hii ni sabuni ya kuogea yenye aloe vera kwa wingi,ikitumiwa na dodoki usaidia kulainisha sehemu inayotakiwa kufungwa.
Aloe Body Toner~ni krimu yenye aloevera kwa wingi na herbal extrack inayopakwa baada ya kuoga,inasaidia kuunguza mafuta na kulainisha sehemu iliyopakwa.
Baada ya kupaka body toner unafunga cellophane wrap.
Aloe Body Conditioning Cream~hii upakwa baada ya kufungua ulipofungwa,upakwa kwa ajil ya kuleta unyevu,kulainisha na kuondoa mafuta,hupakwa sehemu ulipofunga na uliposhindwa kufunga.

kuna maelezo haya na video yake,pia hakikisha unakunywa maji ya kutosha.,isitumiwe na wajawazito au wenye matatizo ya mzunguko wa damu!!

Matokeo yake ni ya uhakika na unaweza kuitumia kila siku mpaka utakaporidhika na matokeo yake!!..kwa matokeo mazuri ya kupunguza tumbo,mikono na mapaja wasiliana nami leo popote ulipo!.

0719383663
karibuni sana!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…