Punguza wivu kwenye mahusiano

Punguza wivu kwenye mahusiano

JMipicha

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
704
Reaction score
1,083
Habari wana JF nina imani mko powa powa sana. Nyungu muhimu sana .

Twende kwenye mada mmoja kwa mmoja ..

Wanaume kwa wanawake punguzeni wivu wa kijinga katika mahusiano maana Matokeo ya wivu huo ni mbaya

Unakuta kila saa unampigia simu mkeo au girl friend wako kila saa una mtext kama umemkopesha .

Yaan wewe ni purukushan nakuambia hivi mwisho wa hayo ni kuchokana na kuona hamna jipya

Maana siku nzima wewe ni usumbufu tu text ,simu yaan hamna muda wa kumiss ana

NAKUAMBIA UKIFANYA HAYO KWA MKEO AU GIRL FRIEND WAKO HAMTADUMU YAAN NI VERY BORIED LIFE [emoji35]

Nawasilisha uzi ....
 
Back
Top Bottom