Jaman hawa wapendwa we2 lizzy na ally wa kitaa wamezid stor baada ya kuchangia mada.2wafanyaje watu hawa!
hapa si ndo kitaaa!!Kwa hiyo in other words ndo umefungua hii ili story zipigwe hapa?? lol
Tunajadili nini vilee?? Maana Lizzy huyo kishafika.... na twataka kuchangia...
hapa si ndo kitaaa!!
story tu!
kula unaenda kula kwenu!!
stuka!!mmmh! sasa hata mimi nimeona hilo....