PUNGUZENI POMBE JAMANI

PUNGUZENI POMBE JAMANI

Black fire

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
755
Reaction score
1,321
Kuna jirani yangu amerudi amelewa sasa nachungulia naona anagonga mlango wake karibu masaa mawili hivi wakati hapa anaishi peke yake, kwa kuwa sipendagi ujinga nimetoka na kumwambia mwenyewe hayupo kasafiri ,kisha akajiondokea zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Punguzeni [emoji481] jamani
 
Back
Top Bottom