Punguzeni tatizo la ajira kwa kidogo tulichonacho

Punguzeni tatizo la ajira kwa kidogo tulichonacho

nkize000

Member
Joined
Dec 3, 2020
Posts
5
Reaction score
5
Tanzania bado ni nchi maskini ambao bado tunajitafuta. Na kuna upungufubwa ajira kwa kiasi kikubwa sanaa, hii inatokana kwa sababu serikali bado hawajawa serious katika hili. Nimeandika story of change

Lakini nataka leo nitolee namna ambavyo kuna watu wamesoma civil engineering ngazi ya certificate na diploma na degree wengi hawana ajira wanaishia kuwa mawakala wa simu.

Sasa barabara zetu nyingi ni mbovu na niamini mimi haziwezi jengwa kwa kiwango cha rami miaka 20 ijayo.

NA KILA MWAKA ZINAPATA MASHIMO KUTOKANA NA MVUA. ZINAARIBIKA, HIVI SERIKALI IKIAMUA INUNUE SETI (haya magari ambayo tunayaona yanatengeneza barabara catapila, nk) ambayo kuna watu wanayamiliki mtu mmoja mmoja

Na ikinunua kila wilaya iwepo seti nzima inayojitosjekeza alafu wakaajili hawa civil engineering ngaz ya diploma na degree na certificate nk kila kata/wilaya awepo mmoja ambaye kazi zao si kukaa ofisini bali ni kutengeneza barabara za vumbi na kuziba mashimo.

Na hata hizi jenzi ndogo za mashuke zahaanat majengo yenye thamn ndogo wapewe wao wasimamie hamna cha kutangaza tenda. Hata ukimlipa laki 5 unakuwa umepunguza garama nying sana. Kwani afisa ugani ana kazi gani kupima nyama inayochinjwa?
 
Wakifanya hivyo! Unafikiri watapata wapi hela za kupiga madili?

Na kama ndo ikiwa hivyo, hao hao unaowasema wataanza kuyatumia hayo magari kwa maslahi yao!

Tanzania ya leo inahitaji
1. Katiba mpya
2. Sheria kali
3. Elimu ya uzalendo kwa taifa siyo hii elimu ambayo unasoma ili upate kazi nzuri.

Yakifanyika hayo hakika baada ya miaka mitano tutakuwa na tanzania mpya.
 
🤜🤜 katiba aliyeitunga alikuwa mtu asiye mzalendo. Haya mambo tunayopitia marekani imeyapitia miaka 80 iliyopita.
Wana harakati ndo uwa wanasababisha hayo yatokee. Sasa wasanii wa Tz wanamuimbia zuena mpaka leo 😥😥😂😂😂
 
Back
Top Bottom