Plot4Sale PUNGUZO KUBWA LA BEI

Plot4Sale PUNGUZO KUBWA LA BEI

Kaka Sai

Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
13
Reaction score
5
SITE INAUZWA

MAHALI: MSIGANI-MADALE, DAR ES SALAAM
KM 6 KUTOKA TEGETA KIBAONI
BEI 26M
Contact 0767175518

KUNA FRAME TATU ZA BIASHARA

PIA

SITE INA
vyumba vitatu viwili ni self contained
ukubwa wa vyumba ni 4 kwa 3 mita viwili, na 3 kwa 3 kimoja

Pia kuna choo kimoja cha public
Jiko
DH na Sitiing rooms, ukubwa wa DH ni 5 kwa 4 mita PIA siting room ni 3 kwa 3 mita
kuna shimo la choo futi 13 urefu na futi 10 upana

barabara nzuri na huduma za kijamii umeme na maji vipo karibu


UKUBWA WA KIWANJA NI 30KWA 30 (900 sqr units)
ENEO LIMEPIMWA
NA KIWANJA KINA NAMBA TAYARI AMBAYO IPO KWENYE KIBAO
DOCUMENTS ZOTE MUHIMU ZIPO IKIWEMO NA HATI

pia
KWA YOYOTE ATAKAYE SAIDIA KUPATIKANA KWA MTEJA ATAPEWA ASILIMIA 5 YA MAUZO YA BEI ELEKEZI MABAYO NI 1.3M

PUNGUZO
KWA MTEJA ATAKAYEKUJA MOJA KWA MOJA PUNGUZO LIPO LA ASLIMIA TANO AMBAPO NI 24.7M BADALA YA 26M
huduma za kiajamii zote zipo karibu ikiwemo
UMEME
MAJI
SHULE YA SEKONDARI MITA 500 TU
SHULE YA MSINGI KILIMETA MOJA TUU ZOTE ZA SERIKALI
USAFILI BAJAJI 1000 MPAKA TEGETA NYUKI STENDI KUU YA DALADALA
DALADALA 500
WP_20140730_06_36_59_Pro.jpg
WP_20140730_07_29_37_Pro.jpg
WP_20140730_07_29_37_Pro.jpg
WP_20140730_07_31_29_Pro.jpg
WP_20140730_07_32_05_Pro.jpg
WP_20140730_07_32_54_Pro.jpg
WP_20140730_07_33_53_Pro.jpg
WP_20140730_07_36_25_Pro.jpg
WP_20140730_07_40_54_Pro.jpg
WP_20140730_07_43_27_Pro.jpg
WP_20140730_07_43_49_Pro.jpg
WP_20140730_07_32_54_Pro.jpg
WP_20140730_07_43_49_Pro.jpg
WP_20140730_07_32_05_Pro.jpg
WP_20140730_07_35_55_Pro.jpg
WP_20140730_07_36_25_Pro.jpg
WP_20140730_07_43_27_Pro.jpg
WP_20140730_07_40_54_Pro.jpg
 
Back
Top Bottom