Punguzo kwa wanaaoagiza magari kupitia be forward

Punguzo kwa wanaaoagiza magari kupitia be forward

MinMash

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
365
Reaction score
132
Kwa wale wanaoagiza magari kupitia be forward Japan kuna sehemu imeandikwa Discount code, please ingiza hizo hapo chini unapata discount hapo hapo kwenye system kabla hujaanza kufanya burgaining!!
 

Attachments

  • IMG_20180325_185737_921.JPG
    IMG_20180325_185737_921.JPG
    23.2 KB · Views: 81
unauhakika nikibonyeza hizo namba nitapata punguzo
 
Hata kama hununui jaribu kufungua page ya gari lolote then ingiza hizo code utaona hapo hapo bei imepungua
 
Back
Top Bottom