Punguzo la bei kwa softwares za biashara

Punguzo la bei kwa softwares za biashara

zegamba180

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
820
Reaction score
541
Fanya biashara yako kijanja na kisasa zaidi. Tuna Software ya:

1. Shule: kuanzia nursery hadi Chuo.
Ina vipengele vinne Academic, Library, Account na Payroll
Taarifa za usajili wa mwanafunzi, kutunza rekodi ya majaribio/mitahani, kutoa ripoti, kutunza kumbukumbu ya uazimaji kitabu/vitabu, malipo ya ada, manunuzi ya vifaa vya shule, mishahara ya staffs, likizo zao n.k. kwa kweli ni nzuri

2. Maduka: Pharmacy, Hardware n.k
Inavipengele vya Iventory, point of sales, Account, Reports
inakuwezesha kujua mauzo ya siku hadi mwaka, faida ya siku hadi mwaka, bidhaa zinazouzika sana dukani kwako, kujua idadi halisi ya bidhaa zako iliyopo/baki. kwa upande wa Pharmacy inakuwezesha kujua dawa zilizokaribia kuisha muda wa matumizi. Kufanya/kufuatilia mihamala yako kwa usahihi na mengine mazuri.

3. Migahawa na Bar
Kama hiyo ya maduka. Ila kuna vipengele vya pekee ktk hii; kuhudumia kwa bills, kwa meza, kufanya derlivery n.k

NB: Softwares zetu namba 2 na 3 mteja anapofika dukani kwako si lazima akulipe cash, anaweza kufanya malipo kwa mtandao wa simu. Pia unaweza kukopesha mteja na taarifa zake ukazijaza na kila anapokuja kununua bidhaa dukani kwako deni lake likaonekana. Hata akiweka akiba yake kwako ukiijaza ktk software itakuonesha kuwa aliweka akiba yake. Mwisho kukuletea alert kwa bidhaa zinazokaribia kuisha.

Karibuni sana tufanye Biashara, bei zetu ni rafiki sana. Vifaa vyako vya kazi ni computer na printer(printer kama utapenda)

Mawasiliano: 0692-775447, 0620332619 tupo dar.
 
Naweza kuiona hiyo system..au nkapata demo kwa kuichek na kupitia baadhi ya vipengele
 
Unamiliki shule au ni mwajiriwa?

Nauliza ili kujua kamauko kwenye nafasi ya kufanya maamuzi ya mwisho kuhusiana na kufunga system, au itabidi upeleke feedback kwa mtu mwingine kisha yeye ndiyo aamue.
Naweza kuiona hiyo system..au nkapata demo kwa kuichek na kupitia baadhi ya vipengele
 
Mimi ni mkuu wa idara ya taalima katika shule zetu. Mm ndo muamuzi wa mwisho ktka masuala yote ya kitaaluma
 
Back
Top Bottom