Punguzo la bei za kozi mbalimbali za kihasibu na nyinginezo

  1. Mimi nataka kujifunza kichina nkimaliza mtaniunganisha na ajira
 
Ndio tutakuunganisha na ajira tupo n connection na makampuni ya kichina
 
please mkuu naomba nifafanulie nielewe mkuu.bado sijaelewa mkuu
 
Hapana mkuu tupo dar es salaam. Kariakooo mtaa wa muheza na masasi street karibu na benjamin mkpa sec school
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…