Pampula jr
JF-Expert Member
- May 2, 2013
- 606
- 193
elewa Tittle V Expo waliuza bei gani?, sio unalopoka tu fukara mkubwa wewe
hapo ndo mm nmeshangaa
hapo ndo na mm nmeshangaa
Mkuu naomba unielekeze ofisi zenu ili nije nibebe mzigo wa asha 210Ipo kwa 135,000/=
fukara wewe
unaetutangazia maboss biashara,tukigoma kununua simu unalala njaa.
nadhan wewe ndo haujui V EXPO waluiza bei gani ndo maana unalopoka bei
za dukani,tena za MLIMANI CITY NA QUALITY CENTRE..
subiri mwaka ujao
elewa Tittle V Expo waliuza bei gani?, sio unalopoka tu fukara mkubwa wewe