Punguzo la kamisheni kwa mawakala wa M-Pesa

NALO LITAPITA

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
333
Reaction score
90
Wakuu habari za majukumu?

Kwa wale mawakala wenzangu wa huduma za miamala, Nine experience punguzo kubwa la kamisheni kuanzia mwezi uliopita.

Kwakuwa ukiangalia salio katika siku zote kabla ya mwisho wa mwezi, unapooneshwa salio unaoneshwa na kamisheni ambayo unakuwa umepata mpaka muda huo uliouliza salio, ajabu ni kwamba ikifika tu tarehe ya mwisho wa mwezi kamisheni hiyo inarudishwa chini kabisa.( Sizungumzii ile 10% ya kodi).

Je mawakala wenzangu mmepitia hili au ni Mimi tu ili nione namna nyingine?
 
Amna kitu kama hicho.
 
Sema tu salio lilikuwa sh.ngapi na rikarudi shi ngap atujuani humu.
 
Back
Top Bottom