Plot4Sale Punguzo la viwanja Kigamboni njoo ujipatie kwa bei nafuu

Plot4Sale Punguzo la viwanja Kigamboni njoo ujipatie kwa bei nafuu

the numb 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2020
Posts
1,562
Reaction score
2,902
Viwanja vinauzwa kigamboni mwembe mdogo karibia na chuo cha afya kigamboni college

1. Umbali kutoka ferry mpk site ni killometer 23

2. Viwanja vimepimwa ila vipo katika michakato ya hati kwahy ukinunua unapata kwa jina lako rasmi

3. Umeme umefika tayar kumetulia hali ya hewa ni safi sana

Meter 8* 22 mil 1.5

Meter 15*20mil 2.5

Meter 35*35 mil 5

Kuhusu punguzo ondoa shaka kila kitu ni maelewano.

IMG_4796.jpg

IMG_4794.jpg

IMG_4790.jpg


NB: Pia niwape siri kuhusu ardhi hii itakurahisishia katika gharama za mchanga unaeza pata hapo hapo ardhi imeshiba rutuba tamu sana

Kwa mawasiliano zaid 0620149421 karibu sana.
 
Back
Top Bottom