Punyeto chat

Punyeto chat

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
Habarini za jumapili wakuu, leo mzee mwenzenu maji ya Gundu nimeona nitoe fursa kwa vijana kuniuliza maswali yeyote kuhusu punyeto nami nitayajibia kwa kina

Karibuni kwa maswali kama unahitaji kujua kuhusu:
- Faida za punyeto
- Hasara za punyeto
- Aina za punyeto
- Mbinu za kuacha punyeto

Unakaribishwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah...Nauliza ...hii kitu iligunduliwa na nani?...wapi?...na ni kitu gani kilkmpelekea Hadi akagundua? Kuuliza si ujinga[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huwa najiuliza baada ya kugunduliwa,ilisambazwaje duniani?
maana kwa mujibu wa wataalamu wa duru za kimataifa wanadai kuwa hii kitu ina addicts...
 
Punyeto inaweza kukufanya uwe shoga kuna Documentary niliangalia ya shoga anaeleza alivyoanza ushoga kupitia punyeto.
 
1.ya mate
2. ya mafuta
3.ya sabuni
4. ya nzi
5. kavukavu(dry)
6. ya matiti a.k.a uhai milk
7. ya hisia tu unakojoa bila kushika chochote
8 .ya blueband
n.k
9. ya babycare
10. ya mende kwenye maji
 
faida za punyeto
nyingi sana
1.hutopata gonorea
2. hutopata ukimwi
3. hutopata klamedia
4. hutopata syphillis
5. hutopata kaswende
6. hutoi ela ya gesti
7. hutopata genital herpes
8. hutopata candidiasis
9. mda wowote / pahala popote ujajiselfisha
 
nyingi sana
1.hutopata gonorea
2. hutopata ukimwi
3. hutopata klamedia
4. hutopata syphillis
5. hutopata kaswende
6. hutoi ela ya gesti
7. hutopata genital herpes
8. hutopata candidiasis
9. mda wowote / pahala popote ujajiselfisha
Yote hayo ni moja......kutopata magonjwa
 
Back
Top Bottom