ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Utaendelea kukariri watu na post zao mpaka lini? don't take this things too seriously brother..usikazie fikra mambo fulani kuhusu watu na thread zao.come on!zingatia linalokuja na unaloliona sawasawa na akili zako.Hivi mtoa post ndo we jamaa wanasema ni mwana lumumba timu fisiemu si ndo wee ulitupia picha umevaa suruale inakitambaa cha gunia vipi ushapata hela za guest nliona kweny uzi wako Fulani unalalamika huna hata pesa ya kupeleka manzi zako huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una chunusi kama Fid Q hizo huwa hazitoki kwa Chaputa.Sababu iliyonifanya nijiunge na kifurushi Cha hatukomi kutoka CHAPUTA ilikuwa Ni kupunguza shahawa ambazo niliamini kuwa ndizo zinasababisha nitokewe na chunusi usoni.na kwa kuwa sikuwa na access ya demu ikanibidi niangalie njia mbadala ya kupunguza haya maprotini mwilini.nikapiga puli Zaid ya mwaka Sikuona chunusi kuisha.kwa hiyo nawashauri ndugu zangu mnaopiga punyeto kwa sababu Kama yangu kuwa muache tu kwani sio kweli hamna kitu Kama hicho.labda Kama mko na sababu nyingine tofauti na ya kwangu.
Sio kweliacha kupotosha. nyeto inaondoa chunusi japokuwa sio 100% na me ni shahidi wa hili