AlphonceKishato
Member
- Jul 13, 2015
- 13
- 1
Weka Mawasiliano ya Simu, ainisha udogo kwa kutaja Umri, weka Picha na ikiwezekana Bei zake na eneo la kufanya Mauzo au kutembelea kuona Hao Mbwa. Mie binafsi nahitaji
Kama mtu ni mnnuzi utamjua tu!
huwa hana maneno mingi!
Picha hiyo hapo
laki 800,000 mbwa?