INAUZWA Pure GSD for sale

Kiboko.

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
2,891
Reaction score
1,214
Habari wana jamvi,

Ninauza mbwa aina ya GSD PURE kwa bei rafiki kabisa ya kufungia mwaka.
Tsh 900,000 tu. Ana mwaka mmoja na chanjo zote muhimu kachomwa.
Karibuni sana.

Dar es Salaam- Kigamboni.



 
Huyu siyo GSD Pure Mkuu..
Bei yako haiendani na huyu Mbwa.
 
Mkuuu, huyu sio Pure Gs.

kwa umri wake huyo na bei uliyotaja angekuwa pure watu wangeikimbilia sanaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…