Push Up 200 kwa Siku ni hatari kwa Afya!!

Napenda zile ligi zetu
Unamtafuta mtu kwa mbaali ukimkaribia naye anaongeza speed[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23]hii ligi uwa ni ya kimyakimya hamuambiani lakini nyote mnakuwa mnajuwa kuwa mpo mnashindana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi daily lazima nipige push-up 200 kila hasubui ,

Napiga 20 raundi inayofata napiga 19 then 18 then 17 ,yaani napiga kwa kupunguza moja moja mpaka nikifikia push-up 5 .zinakuwa zimekamirika 200
 
Ha ha
Kwenye hii ligi huwa natembea kama siendi kumbe niko kasi balaa
Alafu mara nyingi ule wakati ukijihisi kuchoka juwa na mshindani wako ni hivo hivo , kwaiyo ukipunguza sipidi mshindani wako anajisemea "afadhari, uyu mpuuzi angekaza kidogo tu angenipita"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi daily lazima nipige push-up 200 kila hasubui ,

Napiga 20 raundi inayofata napiga 19 then 18 then 17 ,yaani napiga kwa kupunguza moja moja mpaka nikifikia push-up 5 .zinakuwa zimekamirika 200
Unatumia masaa mangapi kufikia hizo 200? Hunaga kazi za kufanya asubuhi inaonekana.

Mimi kila asubuhi napiga 20 awamu tano, zinakuwa 100. Usiku sipigi, nakua nimechoka, nimeshiba.
 
Unatumia masaa mangapi kufikia hizo 200? Hunaga kazi za kufanya asubuhi inaonekana.

Mimi kila asubuhi napiga 20 awamu tano, zinakuwa 100. Usiku sipigi, nakua nimechoka, nimeshiba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sina kazi za kufanya??[emoji28]


Well,
kawaida yangu daily kasoro j 2 tu ,
uwa naamka sa 11;40, najiaandaa ,sa 12 naingia road nakimbika kwa dk 30 ,

Then naingia uwanjani nanyoosha viungo ,nacheza mazoezi ya tumbo na kadharika,

Ikifika sa 1:00 naanza push-up zangu , napiga push-up 200 ndani ya dk 15,

Nikimaliza narudi home naoga najiandaa mpaka sa 2:00 nakuwa nishafungua golini kwangu.

Nb: saa nikiwa mazoezini nikifaa muhimu ambacho akibanduki mkononi.
 
Nilipofika Dar kikazi mwaka 2011
Nyumba niliyokuwa naishi hapa Kkoo,Chini yake ndio ofisini
Kwa maisha haya,nilijikuta naanza kupata Uvivu wa hali ya Juu
Kwasasa nilivyo,ni zaidi ya Uji wa Mgonjwa

Dah
Nimepata na Kitambi kabisa
Kila nikifiria kuanza,napatwa na uzito wa ajabu,na nikianza ndani ya wiki mbili na zaidi,nitaumwa hatari
Nikipona,mazoezi ndio basi

Ila
Nakumbukia enzi zangu za mazoezi,niliishi maisha ya furaha sana.
Ndugu zangu
Mbarikiwe sana
Mazoezi ni dawa
 
Siri ya mazoezi ni muendelezo.

Ukiyahacha yanakuhacha pia.
 
Mimi nikipiga Push up...kwa lengo la kuongeza body....najikuta napungua....kama nakonda ivi....nikiacha mwili unarudi hali yake ,,,,nakosea wapi wakuu?
 
Ukitaka uharb biashara ya vumbi la Congo na mchuz wa pweza docta aseme kweny TV kwamba push up zinaongeza nguvu za kiume na kuchelewa kuwaona wazungu utaona asubuhi vijana wanavopambana
 
Mkuu sijawah ingia gym mazoez yangu ni push ups na kukimbia uwanja..ila ukiniona unaweza kuhisi nakesha gym

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: ywf
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…