Pushapu asubuhi

Pushapu asubuhi

Jalema

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2013
Posts
594
Reaction score
868
Wale wa pushapu asibuhi tukutane humu. Maana inasemekana kupiga pushap asubuhi ni jambo la kheri na husaidia kujenga afya ya mwili.

Wazo huru
 
Ni haki ya baba au mtoto?
Screenshot_2020-06-11-22-10-17-1.jpg
 
Yes, huwa nafanya mazoezi asubuhi mwishoni napiga pushups, mpaka sasa naweza kupiga saba tu na naishia kulala hapo hapo, duuuu

Aise ni push ups as push ups, don't misquote me
Mama mkwe shkamo...[emoji137]
Lakini umejua kunichekesha sana leo, hada hapo mwisho wa pushups.....[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mjukuu mpenda wenye mapengo hujambo!???

Ulisifu na kuabudu leo asubuhi?
Morning was good enough mamy!
Alinipa platform ya kitandani..😅

Mapengo mwisho kwako..😜
 
Morning was good enough mamy!
Alinipa platform ya kitandani..😅

Mapengo mwisho kwako..😜


Saafiii, usiache ibada ya jioni ni muhimu pia kwa usingizi mnono na njozi nofu.

Aahahahahaahahahahaa, ngoja Dadii akusikie.
 
Tulio Dodoma Ndiyo Tumemwelewa Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Mkuu hivi zile Dodoma Wine mmepita nazo au mmeziacha tu mezani huko... Dahh..😝😝😜😜😜😜😛😛😝😜😜
 
Back
Top Bottom