Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakosea sana asee kama huna taaluma hiyo ni bora uulizeHapana kwanza huyo aliyepima hakuwa na.uhakika na majibu yake maana haja slesify majib amefanya kama ku gues tu wataalamu wa maabara makini huwezi report ivyo kijinga hata daktar makini hawezi kubali majibu hayo any way tumia dawa mkuu
Yes ciplofloxacin ni dawa inamaliza hilo tatizo ila kama unahisi una pata na maumivu ya tumbo chini ya kitovu nunua na metromidazole uchanganyeHabari zenu waungwana
Naomba msaada, nlipima mkojo na majibu ya vipimo ni
Macro: yellow specimen
Micro😛uss cells 35 - 40 hpf
Je ni sahihi kuandikiwa ciproffluxin kama dawa kwajili ya hilo?
ndio Napata maumivu chini ya kitovu.Yes ciplofloxacin ni dawa inamaliza hilo tatizo ila kama unahisi una pata na maumivu ya tumbo chini ya kitovu nunua na metromidazole uchanganye
Inawezekana pia umekariri tafuta monica manual volume 2 medical microbiology kasome collection examination culturing and reporting of urine spacemenReport kitu kwa usahihi na strait kwenye majibu
Kumbe ndii nyie mnaokalili mpk nukta kisa imeanfikwa kwny monica vol 2 kwani aliyeandika ni malaika siyo binadamu halafu vitu vinabadilika kila siku siwezi laumu inawezekana ndo nyie mliosoma karne hiyo ya kukaririInawezekana pia umekariri tafuta monica manual volume 2 medical microbiology kasome collection examination culturing and reporting of urine spacemen
Unadhan wanaoriport ni wajinga sana ok fanya unachokiamini huna haja ya kujua nimesomea wapi
Umewaza Mbali sana MkuuNimefungua uzi nikijua ni Pussy sells @35 to 40K.
Mungu anisamehe kwaresma.
Umewaza Mbali sana Mkuu
Kwani alishindwa kuripot WBC 40/hpfUnakosea sana asee kama huna taaluma hiyo ni bora uulize
Majibu ya mkojo huripotiwa hivyo ndio SOP zinavyoeleza sasa sijajua wasiwasi wako ninini? Au hofu yako ninini?
Hiyo ni just reporting na iko accepted kabisa anae reportKwani alishindwa kuripot WBC 40/hpf